11 August 2014

HAYA NI MAJANGA BAADA YA MWEZI MTUKUFU KUISHA,, ANGALIA HII CLIP YA LULU MICHAEL...



Msaii na muigizaji wa filamu nchini ajulikanae kama elizabeti michael, ameonekana akikosa maadili, baada ya kuvaa vazi ambalo halistahili hasa wakati wa mchana kweupee...
ukizingatia yeye ni kioo cha jamii inayomzunguka , ameonekana akiingia maeneo flani apa mjini akiwa katupia vazi ilo bila wasi wasi, watu wakimshangaa,, angalia kwa ku bofya hapo juu.......
Je ingekua wewe umekutana nae hivo ungefanyaje...????

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname