09 December 2015

Tanesco wagundua wizi wa umeme kwenye nyumba ya Wema Sepetu, Idris Sultan akutwa ndani

post-feature-imageShirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu. Mafundi wa shirika hilo waliambatana na waandishi wa habari hadi kwenye nyumba hiyo na kubaini kuwa umeme unaingia moja kwa moja kwenye nyumba bila kupita kwenye mita. Wakati mafundi hao wameingia nyumba hiyo walimkuta Idris Sultan ndani aliyejaribu kuwasihi wasiukate umeme. Kukutwa kwa Idris kwenye nyumba hiyo kumetia mafuta zaidi tetesi za kuwa wawili hao wana uhusiano.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname