09 December 2015

BREAKING NEWZZZ.....RAIS MAGUFULI NAYE AKIFANYA USAFI LEO HII KATIKA ENEO LAKE


  • dar_newsRaisi John Pombe Magufuli nae amejitokeza barabarani maeneo karibu na Ikulu kuungana na Wananchi kufanya Usafi. Tuamkeni wote kwa pamoja tusafishe maeneo yetu yatutunze. #UhuruWaUsafi #UsafiDay

  • No comments:

    Post a Comment

    Comments system

    Disqus Shortname