13 December 2015

SIKU 7 ZA RAIS MAGUFULI,MAKAMPUNI 15 WAKAIDI TAMKO LA RAIS,TRA WATOA KAULI NZITO WASEMA KUFA NAO

Kaimu Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), Dk. Philip Mpango akizungumza na waandishi habari (hawapo pichani) juu ya hatua za ulipaji wa kodi iliyokwepwa katoka katika kontena 329 katika bandari Kavu ya Azam,leo jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname