13 December 2015

WAKATI WAPINZANI WAKIPINGA UTEUZI WA WAZIRI PROFESA MUHONGO MWENYEWE ATOA KAULI NZITO AFUNGUKA KILA KITU

WAKATI wapinzani wakipinga uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, waziri huyo amewasihi wananchi kumvumilia kidogo, ili baada ya muda mfupi atoe mpango wa maendeleo ya wizara hiyo, ambao pamoja na mambo mengine, utaelezea bei ya nishati  

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname