13 December 2015

WAZIRI MWAKYEMBE ATOA KAULI NZITO KUHUSU KATIBA MPYA MARA BAADA YA KUAPISHWA

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe ambaye ameapishwa leo na rais John Magufuli kushika wadhifa huo amewaomba wadau na wananchi kwa ujumla kumpa muda.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname