05 December 2015

DIAMOND PLATINUMS , MAMA YAKE KIKAO KIZITO,KISA HIKI HAPA

Supastaa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mama’ke mzazi, Sanura Kassim ‘Sandra’ wamelazimika kukaa kikao kizito ili kupata muafaka wa mzazi mwenzake na staa huyo, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kurejea Bongo na kuishi katika nyumba moja na mkwewe huyo ambaye walipishana kauli hivi karibuni.  


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname