07 December 2015

BREAKING NEWS : MOTO WA MAGUFULI WATUA UTUMISHI,WATUMISHI WOTE WATAKIWA KUTEKELEZA HAYA


Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imeanza rasmi kutekeleza Ahadi ya Uadilifu kwa watumishi wa Umma nchini .
Akiongea na vyombo vya habari leo, Katibu Mkuu Hab Mkwizu amesema utekelezaji huo umeanza rasmi Desemba, 2015 ambapo kila Mtumishi wa Umma ataweka saini ya kiapo kwa kuzingatia taratibu zilizowekwa na mazingira ya taasisi husika.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname