29 December 2015

BIFU JIPYA : MR BLUE AIBUKA NA KUDAI DIAMOND PLATINUMS AMEMUIBIA

Mr Blue anadai chake.. kwa mujibu wa Kabayser, jina ‘Simba’ analotumia Diamond sasa kwenye post zake kwenye mitandao ya kijamii alilianzisha yeye wiki kadhaa zililopita baada ya kupewa na mashabiki wake. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname