07 December 2015

BARAZA LA MAWAZIRI LA RAIS MAGUFULI AOKOA LAOKOA MAMILIONI,ATIKISA KILA KONA



 Uamuzi wa Rais John Magufuli kukaa zaidi ya mwezi mmoja bila kuteua Baraza la Mawaziri huenda ukawa umeisaidia Serikali kwa kuokoa takribani Sh683.3 milioni za walipa kodi, bila kuhusisha gharama za ununuzi wa ‘mashangingi’.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname