26 November 2015

UONGOZI WA BUNGE : MKOPO WA GARI KWA WABUNGE NI MILIONI 90 HAZITAONGEZWA

Msemaji wa Bunge amesema kuwa hawajapata malalamiko rasmi kutoka kwa wabunge kuwa wanahitaji kuongezea fedha hizo zifikie milioni 130 kutokana na kupanda kwa thamani ya dola ya Marekani.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname