26 November 2015

MAMA AMBANA DIAMOND PLATINUMS UHALALI WA TIFFAH, MENGI YASEMWA

Mama wa staa wa muziki Bongo, Sanura Kassim ‘Sandra’.SINEMA limeanza! Sanura Kassim ‘Sandra’ ni mama mzazi wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ hivi karibuni anadaiwa kuingia katika figisufigisu na mwanaye huyo kwa kumuhoji kama kweli Latiffah ‘Tiffah’ ni damu yake kwa kumzaa na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’,   

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname