04 November 2015

SUPER STAR WEMA SEPETU ASEMA : DIAMOND PLATINUMS ANGEKUWA MUME WANGU WA MAISHA




Nasib Abdul ni jina halisi la Diamond Platnumz.
Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na muigizaji wa filamu alikuwa akijibu swali kwenye kipindi cha Hitzone kupitia kituo cha redio cha Jembe FM cha jijini Mwanza alipoulizwa ni mwanaume gani ambaye alitamani awe mume wake wa ndoa. 


SOMA ZAIDI 






No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname