30 November 2015

RUNGU LA MAGUFULI LATUA BAKHRESA,TRA YAZUIA MAKONTENA YAKE BANDARI KAVU,POLISI WAFANYA KAZI YAO

*TRA yazuia makontena yake bandari kavu
*Polisi yasema uchunguzi mzito unaendelea
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imezuia kampuni ya Said Salim Bakhresa & Co. Limited kupeleka makontena yake katika Bandari yake Kavu (ICD), baada ya kugundulika kuwa baadhi ya makontena yalipitishwa bila kulipiwa kodi.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname