30 November 2015

RAIS WA TANZANIA DK MAGUFULI AWEKA REKODI YA BARAZA LA MAWAZIRI

 Rais John Pombe Magufuli amekuwa wa kwanza tangu mfumo wa vyama vingi kuanza nchini kutumia muda mrefu kutangaza Baraza la Mawazi kutokana na kile wasomi, wachambuzi wa siasa kusema pengine anapata wakati mgumu kupata mawaziri watakaoendana na kasi yake.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname