18 November 2015

RAIS MAGUFULI AWASILI KUHUTUBIA BUNGE,WAZIRI MKUU HADHARANI

Rais wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli, amewasili jana hapa Dodoma tayari kwa kulihutubia na kulizindua rasmi Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Magufuli, katika hotuba yake, anatazamiwa kugusia mwelekeo wa Serikali yake ya awamu ya tano na nini kinalengwa kufanyika.  

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname