22 November 2015

NEWSSS...RAIS MAGUFULI AOKOA TENA Milioni 700 ZA SAFARI YA VIGOGO HUKO ULAYA

Raisi Magufuli amezuia maafisa 50 waliokuwa wasafiri kwa ajili ya kwenda kushirika kwenye ziara ya Jumuiya ya Madola.

Badala yake ameruhusu maafisa wanne tu na kuokoa jumla ya sh milioni 700 ambazo zingetumika kulipia posho za safari na kugharamia ticket za ndege.

Chanzo:Nipashe

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname