22 November 2015

BOND WA WASTARA AFANYA MAAMUZI MAGUMU ATOA KAULI NZITO,AOMBA RADHI

Mchumba wa Wastara Mr Bond Amefunguka Haya Kwenye Ukurasa wake wa Facebook:
"Alhamdulillah
Namshukuru mungu kwa kunisimamia kwa hili jambo kwani haikuwa kazi rahisi kuachana na kila kitu na kuamua kutafuta upya maisha yangu halisi na yaukweli 


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname