12 November 2015

Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Morogoro Amejikata Kidole Chake Alichopigia Kura Baada ya Lowassa Kukosa Urais

 
Mkazi mmoja wa mkoa wa Morogoro amejikata kidole chake kidogo cha mkono wa kushoto ambacho huingizwa kwenye wino baada ya kupiga kura ikiwa ni hasira ya Lowassa kukosa uraisi.
Mkazi huyo pia ameharibu kadi yake ya kupiga kura na kuahidi kutopiga kura tena katika maisha yak

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname