03 November 2015

MAANDALIZI YA KUMWAPISHA MAGUFULI YAIVA.VIONGOZI KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI WAANZA KUWASILI


WAGENI wa kimataifa zaidi ya 50 wanatarajiwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli zitakazofanyika keshokutwa jijini Dar es Salaam. 
Ofisa Uhusiano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Rosemary Malale, alisema orodha hiyo ya wageni walioalikwa, inajumuisha mashirika ya kimataifa, mashirika ya kikanda, wakuu nchi na mabalozi.   

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname