03 November 2015

LOWASSA AANDAA MKAKATI MZITO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU UJAO


Aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema).
Na Waandishi Wetu
MAPYA! Kuna madai kwamba, aliyekuwa mgombea urais wa Tanzania kwa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema) akiungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa (pichani) na viongozi wa chama hicho, wapo kwenye mkakati mzito wa kuvuna wanachama wengi kwa ajili ya uchaguzi ujao, Uwazi limeambiwa.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname