WAKATI
Rais Magufuli akimpa heko Mbunge wa Kigoma Mjini Kupitia chama cha ACT
Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe kwa kitendo chake cha kutoungana na wabunge
wanaowakilisha umoja wa katiba ya wananchi Ukawa kupiga kelele na
kutolewa nnje ya Bunge na Spika Job Ndugai,Zitto ameibuka na kuwaunga
mkono wabunge hao.
No comments:
Post a Comment