25 November 2015

JACKY WOLPER ASHTUKA,AFUNGUKA MAZITO,ASEMA NI WAKATI WA KUMRUDIA MUNGU

IMG-20150310-WA0054
Staa mkali wa filamu Bongo Jacqueline Wolper.

Na Imelda Mtema
STAA mkali wa filamu ambaye hivi karibuni alipumzika kwa muda sanaa hiyo, Jacqueline Wolper, amesema baada ya kufanya mambo mengi maovu, huu ni wakati wa kumrudia Mungu, hata kwa kusoma vitabu vyake vitakatifu. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname