25 November 2015

ALIKIBA AKANUSHA TETESI ZA KUMPA UJAUZITO JOKATE

Ali kiba amekanusha taarifa zilizoandikwa na moja ya magazeti ya udaku hivi karibuni, kuwa amempa ujauzito Jokate Mwegelo
Hivi ndivyo ilivyoandikwa:
“Wakati Beautiful Onyinye wa Bongo, Wema Sepetu akihaha kuhakikisha anaitwa mama, habari ‘exclusive’ iliyotua kwenye meza ya gazeti hili inadai kuwa, mwanamitindo anayefanya pia muziki na filamu, Jokate Mwegelo amenasa ujauzito huku


BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname