25 November 2015

WEMA SEPETU NA KAJALA ACHENI UTOTO,WAPEWA MAKAVU LIVE

Kajala 1
Kajala Masanja.
KWENU warembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja. Habari zenu binafsi? Bila shaka ni wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Kitambo kidogo sijawaona lakini naamini pumzi ya bure mnaendelea kuivuta ndiyo maana nasikia matukio yenu kwenye vyombo vya habari.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname