23 November 2015

EMIRATES WAIONJA JOTO YA JIWE FUMUA FUMUA YA RAIS DR. MAGUFULI SOMA HAPA HABARI KAMILI

Fumua fumua yamabadiliko ya Rais Dr. Magufuli hatimaye imewakumba Shirika la Ndege la Emirates ambalo sasa limepunguza safari zake za kuja Bongo kutokana na agizo la Magufuli la Maofisa wa Serikali kutosafiri nje ya bongo bila ya ruhusa maalum.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname