21 November 2015

DIAMOND PLATINUMS NA KAJALA MAMBO MOTOMOTO,SIRIYA MUDA MREFU YAFICHUKA

Staa nambari moja Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
NI gumzo! Ubuyu motomoto ambao unasambaa kwa kasi ya ajabu kama moto wa kifuu mjini unadai kuwa, staa nambari moja Bongo Fleva, Nasibu Abdul  ‘Diamond Platnumz’ na mwigizaji Kajala Masanja wamedaiwa kuwa ni wapenzi na sasa ni mahaba niue  


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname