20 November 2015

CCM YAWAFUKUZA VIGOGO HAWA WANNE WALIOSIMAMIA UCHAGUZI

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Tabora Mjini, kimewasimamisha viongozi wanne wa Kata ya Chemchem kwa kukisaliti chama hicho katika mchakato uliopita wa kura za maoni hadi Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 Mwaka huu.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname