09 October 2015

WASANII WASEMA: HUU NI MWAKA WA MABADILIKO YA KWELI














Wasanii mbali mbali kutoka Bongo Movie na Bongo Flava wameonesha Umoja katika kulinda na kuhakikisha watanzania wanapata maendeleo ya kweli. Katika Safari zao wamesema kuwa maendeleo ya kweli hayawezi kutokea bila kuwa na kiongozi Muadilifu, mchapa kazi, mkemea rushwa na ufisadi. Lazima kama taifa wananchi wote wajitume, wafanye kazi ili taifa letu liendelee. Kuhusu tatizo la mitaji Dkt. Magufuli ameahidi kutoa Million 50 Kila kijiji kuhakikisha watanazania wote wanashiriki katika kujenga taifa na kuondokana na umaskini. Wamewaomba sana watanzania kufanya maamuzi kwa maslahi ya taifa letu... Wampigie Kura Dkt. Mafugufi..

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname