DK.MAGUFULI AKISISITIZA JAMBO MBELE YA WANANCHI WA SAME |
UMATI WA WANANCHI WA SAME WALIO JITOKEZA KUMSIKILIZA |
AKINA MAMA WAKIFURAHIA HOTUBA YA DK.MAGUFULI |
Jana Akiwa Same, Maelfu ya wananchi walihudhuria mkutano wa mgombea
Urais kutoka chama cha mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli. Wakina mama
kutoka Same wameahidi kumpa kura zote Dkt. Magufuli kwa sababu ni
Muadilifu na mchapa kazi
No comments:
Post a Comment