Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi CCM Mh. Abdulrahman Kinana
Mh. Abdulrahmani Kinana ambae ni katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM
akiwa Kagera katika shughuli za kampeni... Amewa ahidi wananchi kuwa
atahakikisha Taifa linasonga mbele. Kila Mtanzania ananufaika na
rasilimali zilizopo... #HapaKaziTu
No comments:
Post a Comment