05 October 2015

WAJUE MASTAA WA NIGERIA WENYE MAJUMBA YA KIFAHARI

Genevieve Nnaji
Hili ni jumba la mwigizaji Genevieve Nnaji ambalo alilinunua jijini Accra, Ghana. Jengo hilo lina thamani ya dola milioni nne (Sh. Bilioni 8.6) likiwa eneo la Achimota.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname