19 October 2015

UKAWA WASIMAMISHA KAMPENI ZAO KESHO, SOMA KISA

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitasitisha kampeni zake ngazi zote kesho tarehe 20 Oktoba kutoa fursa kwa wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza, Dk. Emmanuel Makaidi. Anaandika Charles William …  

 BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname