Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akisaini kitabu cha wageni
katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye
hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo. Kampuni ya simu ya
TTCL leo imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaanzia Oktoba 12
hadi 16, 2015.
No comments:
Post a Comment