Siku ya Jana Tarehe 09 October 2015 wasanii mbali mbali kutoka bongo
Movie na Bongo flava walikuwa na mkutano katika kata ya bulyanhulu,
Kahama. Mkutano ambao ulihudhuriwa na watu wengi sana. Wasanii hao
wameeleza sababu nyingi za kuwa fanya kumpa kura za Ndio Dkt. John Pombe
Magufuli. Moja ya sababu ikiwa record yake ya uchapa kazi na Uadilifu.
Baadhi ya wasanii hawa waliwahi kushawishiwa kujiunga na vyama vingine
lakini baada ya kuchambua vizuri sera za wagombea wakaamua kumuunga
mkono Dkt. Magufuli... Kauli mbiu yao ni Nimesikia, Nimechambua,
Nimeamua... Kura Yangu kwa Magufuli
No comments:
Post a Comment