Mtumiaji
wa bia ya Serengeti Salum Ally (kulia) akishiriki katika shindano la
kutambua ladha ya bia ya Serengeti linalojulikana kama “Serengeti Masta”
lililofanyika katika baa ya Meridian iliyopo Kinondoni jijini Dar es
salaam.
Balozi
wa bia ya Serengeti (kulia) akikabidhi kitita cha Tsh. 50,000/= kwa Bw.
Salum Ally (kushoto) aliyeibuka Serengeti Masta katika baa ya Meridian
iliyopo Kinondoni jijini Dar es salaam baada ya kuitambua ladha halisi
ya bia ya Serengeti kwenye shindano la kumtafuta Serengeti Masta
liliofanyika katika baa hiyo.
Mmoja
wa wateja wa bia ya Serengeti aliyefahamika kwa jina la Mwasiti Masauni
(wa kwanza kulia) akichagua karatasi ya maswali ili kujiwezesha
kushinda kiasi cha Tsh. 50,000/= (Elfu Hamsini), wakati wa shindano la
kumtafuta Serengeti Masta wa baa ya Meridan iliyopo Kinondoni jijini Dar
es Salaam.
Mteja
wa bia ya Serengeti Mwasiti Masauni (wa kwanza kulia) akishiriki katika
shindano la kutambua ladha ya bia ya Serengeti linalojulikana kama
“Serengeti Masta” lililofanyika katika baa ya Meridian iliyopo Kinondoni
jijini Dar es salaam. Shindano hilo ambalo linaendelea hivi sasa jijini
Dar es salaam na mikoani linalenga kumpata mshindi mmoja kwa kila baa
inayotembelewa anayeweza kuitambu ladha halisi ya bia ya Serenge
No comments:
Post a Comment