Mgombea
urais aliyesimamishwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia
Chadema, Edward Lowassa, amesema hana rafiki yeyote aliyebaki CCM kwani
marafiki zake wote wapo Ukawa.
Aidha,
amewataka wananchi wa Jimbo la Monduli kutomchagua mgombea ubunge
aliyesimamishwa na CCM, Namelok Sokoine na badala yake wamchague mgombea
wa Chadema, Julius Karangaraiza.
No comments:
Post a Comment