Hivi karibuni
Zuwena Mohamed ‘Shilole’ alichora tattoo yenye jina la boyfriend wake
Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwenye kifua chake, ikiwa ni ishara ya kuwa
mapenzi yao yanazidi kushamiri.
Kama vile haitoshi Shishi bado ana mpango wa kuongeza mchoro mwingine kwenye sehemu za siri.
Akizungumza na
Global Publishers, Staa huyo wa mduara, Shishi amesema ana mpango wa
kuchora tena jina la mpenzi wake, Nuh kwenye moja ya kalio lake ikiwa ni
njia mojawapo ya kuonyesha mapenzi yake ya dhati kwake.
“Mimi bado
tattoo moja ya muhimu sana ambayo nataka kuchora kwenye kalio ili
kuonyesha ni jinsi gani nampenda mpenzi wangu Nuh,” alisema Shilole.
Nuh Mziwanda
ndiye aliyekuwa wa kwanza kuchora tattoo zenye majina ya Shilole kwenye
mwili wake, kitendo kilichomshawishi mpenzi wake Shishi naye kuchora.
Source: GPL
No comments:
Post a Comment