RAIS WA NAMBIA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI TANZANIA
Rais wa Namibia, Hage Geingob akilakiwa na Rais Jakaya Kikwete mara
baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA),
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
No comments:
Post a Comment