12 October 2015

MGOMBEA UDIWANI MBAGALA NA RAIS WA YANGA AWEKA HISTORIA


Mgombea Udiwani kupitia Kata ya Mbagala Kuu, Yusufu Manji akiongea na WANANCHI walioudhuria Mkutano wake wa kampeni uliofanyika leo Oktoba,11, 2015 viwaja vya Zakheem. Katika Mkutano huo Manji aliwaeleza wapiga kura wake kuwa kwa kushirikiana na familia yake watahakikisha wanaboresha Shule zilizoko Kata ya Mbagala Kuu ili ziweze kutoa Elimu Bora itakayozifanya ziwe za mfano  katika Kanda Afrika  MasharikiSOMA ZAIDI   

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname