19 October 2015

NYUMA YA PAZIA MSIBA WA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE

Gabriel Ng’osha
 Vilio na majonzi vimelitawala Jimbo la Ludewa na nchi nzima kwa jumla, huku mamia ya wakazi wa jimbo hilo lililokuwa likiongozwa na mchapakazi, marehemu Deo Filikunjombe aliyeaga dunia Alhamisi iliyopita kwa ajali ya helkopta iliyotokea katika Hifadhi ya Selous eneo la Msolwa mkoani Morogoro, wamezimia kutokana na mapenzi ya dhati waliyokuwa nayo kwa shujaa wao huyo.   

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname