19 October 2015

MAMA DIAMOND AMKARIBISHA WEMA SEPETU,AFUNGUKA MAZITO



MAMBO yamekuwa mambo! Siku chache baada ya mzazi mwenza wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kutimka Bongo na kuelekea kwake nchini Afrika Kusini ‘Sauz’, mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameibuka na kusema hana kinyongo na mpenzi wa zamani wa mwanaye, Wema Sepetu ‘Madam’ na anamkaribisha nyumbani kwao muda wowote

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname