03 October 2015

MTOTO ALIZALIWA BILA SEHEMU YA KICHWA NA UBONGO

Jaxon Buell alizaliwa August 27 2014 huko Birmingham, Uingereza akiwa hana sehemu kubwa ya fuvu la kichwa pamoja na ubongo.
Madaktari waliligundua tatizo la huyu mtoto tangu kipindi ambacho bado hajazaliwa,Brandon na Brittany ambao ni wazazi wake walishauriwa na Madaktari kwamba ni bora ujauzito wake ukatolewa… wao hawakukubali, kingine kikafuatia kwamba hata akizaliwa,hatokuwa na maisha marefu atafarariki kutokana na ukubwa wa tatizo lake.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname