09 October 2015

MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUPITIA CHADEMA EDWARD LOWASSA AFANYA KAMPENI ZAKE JIJINI ARUSHA



Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa ameambatana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Godbress Lema, wakiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, leo Oktoba 8, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI, ARUSHA
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname