MBOWE Amlilia MTIKILA, Asema Alikua Mpiganaji Hodari!
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema
amepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha
mwanasiasa mkongwe katika siasa za mageuzi nchini, Mwenyekiti wa DP
Mchungaji Christopher Mtikila.
No comments:
Post a Comment