Siku
chache baada ya mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha kufuta kesi
ya kudai talaka mahakamani na kudai kuwa bado ana ‘mapenzi’ na mumewe,
Emmanuel Mbasha ameibuka na kujiapiza kuwa kutokana na ukali wa mateso
aliyoyapitia wakati wa kesi yake, kamwe hawezi kumsamehe mwanamke huyo.
No comments:
Post a Comment