Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akivishwa vazi rasmi la kimila la kabila
la wa Iraki, wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo Oktoba 9, 2015.
.BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
.BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment