Masaa machache baada ya kusimamishwa..huyu ndiye kiongozi mpya wa FIFA!!
Masaa machache baada ya Rais wa FIFA Sepp Blatterkusimamishwa kuliongoza shirikisho hilo, kiongozi wa shirikisho la soka Afrika Issa Hayatoukutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho hilo kwa muda.
No comments:
Post a Comment