Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan,
akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Kisesa,
jimbo la Magu mkoani Mwanza
Wananchi
wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama samia Suluhu, leo katika eneo la Sumve mkoani Mwanza.
No comments:
Post a Comment