19 October 2015

MAMA DIAMOND AMKARIBISHA WEMA SEPETU,AFUNGUKA MAZITO

Brighton Masalu NA IMELDA MTEMA
MAMBO yamekuwa mambo! Siku chache baada ya mzazi mwenza wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kutimka Bongo na kuelekea kwake nchini Afrika Kusini ‘Sauz’, mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ameibuka na kusema hana kinyongo na mpenzi wa zamani wa mwanaye, Wema Sepetu ‘Madam’ na anamkaribisha nyumbani kwao muda wowote, SOMA ZAIDI



No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname